Mhh mh mh mhh mh mhh
Mhh mh mh
Mhh
Eeeeh kaja omba nirudia
Kazireje shasalam
Zamani kakumbukiaa
Ameumisi utamu
Kaacha kopa kalamba garasa
Kaishiwa masikini
Mpeni taarifa za beti mkwasa
Mi simkumbuki sini
Hee mwambieni mwambieni
(Mali yake ishaliwa)
Aha Apunguze kampeni
(Jimbo lishachukuliwa)
He he mwambieni mwambieni
(Mali yake ishaliwa)
Aha Apunguze kampeni
(Jimbo lishachukuliwa) wee!
Kabaki mbe mbe arijo jombe mbe
Hatarii
Mbe arijojo mbembe
Kaambulia
Patupuu mbe arijojo
Mbembe
Yuko chali chaliii mbearijojo
Mbe
Mbe
Mbe
Mbe
Alidhani Ameniadhiri
Alidhani Amenikomoa
Mungu akanipa Msitirii
Alonipoza nikapoa ah!
Penzi kalijaza ndindindi
Kanimwagia
Mwemwere mwemwere
Pole ya kwako kidingi
Wa kudandia
Ngendere Ngedere
Simu za usiku wa saa sita
Aka staki
Kuni dm insta, Aka staki
Kutwa kujicomentisha
Aka staki
Kujitumisha vipicha
Aka staki
Hee mwambieni mwambieni
(Mali yake ishaliwa)
Aha Apunguze kampeni
(Jimbo lishachukuliwa)
He he mwambieni mwambieni
(Mali yake ishaliwa)
Aha Apunguze kampeni
(Jimbo lishachukuliwa) wee!
Kabaki mbe mbe arijo jombe mbe
Hatarii
Mbe arijojo mbembe
Kaambulia
Patupuu mbe arijojo
Mbembe
Yuko chali chaliii mbearijojo
Mbe
Heee kabaki mbeee
Mbe arijojo mbe mbe
Si wa mbele wala nyuma
Mbe arijojo mbembe
Si wa kuvutwa sukuma
Mbe arijojo mbembe
Inakuuma eeeh
Mbe arijojo mbembe
Twende kirinkikiti kirinkikiti kikiti kikiti kirinkikiti kirinkikiti kikiti kikiti
Twende bah skoroba bah yani bah
Yani bah skoroba bah yani bah
Awee
Hahaaaa
Please Kindly drop a comment, Corrections and suggestions. Your Comment is a motivating factor for wikilyrics to perform greatly.