Nandy - Siwezi (Choir Version) Lyrics + mp3 download

 

Nandy - Siwezi (Choir Version) Lyrics + mp3 download

Download And Enjoy This New Mp3 Song!Download Nandy - Siwezi (Choir Version) Audio

(ads1)

VERSE 1
Naona kama dunia imesimama nimeibeba kichwani
Kumbe kuachwa inaumaga ivii
Tena nazidi umia nikilalama machozi yanatiririka
Kumbe kuachwa ina umaga iviii we hayaaa
Umeniumbua bora niseme
Kiapo nilicho kula bora nikiteme
Mapenz shikamoo sirudii tenaa
Umepatwa na nn si useme
Kinachokufanya we uniteme
Mapenz shikamooo sirudiii tenaa we hayaa
Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichokaa
Au ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwa

CHORUS

Bila weee me siwez (sauti inarudia)

Siwez siweziii ( nakumbuka uliniambia)

Bila weee me siwez (sauti inarudia)Siwez

Siweziii ( nakumbuka uliniambia)

VERSE 2
Unanifanya me nalewa sana
Haipiti siku bila kugombana
Mapenz yako ya kibabe sana
Malumbano ya mapenz siyawezi
Kuna sielewi mana, iv kwanini kwako na ng,ang,ana
Mapenz gani haya kutesana
Wasiwasi wa mapenz
Ivi kwann we hisia zangu unazikondesha unaniweka roho juu
Ina maana mie maisha yangu sito yasongesha oooh mapenziiii

(ads1)

Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichokaAu ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwaaa

CHORUS
Bila weee me siwez (sauti inarudia)
Siwez siweziii ( nakumbuka uliniambia)
Bila weee me siwez (sauti inarudia)
Siwez siweziii ( nakumbuka uliniambia)


Tags:Nandy - Siwezi (Choir Version) Mp3,Nandy - Siwezi (Choir Version) mp4, remix. cover, instrumental,Nandy - Siwezi (Choir Version) video,Nandy - Siwezi (Choir Version) TikTok,Nandy - Siwezi (Choir Version) radio edit,Nandy - Siwezi (Choir Version) music, 2022,Nandy - Siwezi (Choir Version) lyrics,Nandy - Siwezi (Choir Version) album
Please Kindly drop a comment, Corrections and suggestions. Your Comment is a motivating factor for wikilyrics to perform greatly.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Ads Area

Disclaimer: All The Lyrics, Stories, Hymn, Poem & Anthem on Wikilyrics are submitted by various people and they have right on the contents they submitted, all the Contents on our database is for educational purposes only and are made available for free download. If you feel one of your asset should not be here please request take down.