Brian Nadra - Bonge Lyrics

 

Brian Nadra - Bonge  Lyrics


{Verse 1: Brian Nadra}
Hood boy, yaani boy wa mtaa
Juu tu sana yeah you know I'm a star
Drinks on me we gon' buy the whole bar
Fukuza hii baridi na ka fries siko njaa
Huh, hivo wanashangaa
Bro, nini hiyo umevaa
Swagger balaa
Nikishika mic
Pale madem wana, swalla-la-la
(Swalla-la-la-laa, swalla-la-la-laa)
Ha ha ha (Swalla-la-la-laa)
And I'm only getting started
Crazy not retarded
Groupies show me love, DMs are bombarded
Any time you see me I be fresh out the oven
Yaani hot cake got the looks from my daddy
Phobia yangu ni kufa msoto
So Imma go hard kama punch ya kushoto

{Chorus}
Bonge, bonge
Ongeza hewa usinyonge
Bonge, bonge
Tunawapa mavidonge
Bonge, bonge
Ongeza hewa usinyonge, (yeah, nani)
Bonge, (bonge), bonge (yeah)
Tunawapa mavidonge

{Verse 2: Bon'Eye}
Ni yule headmaster, karibu darasa
Leta nyoko nyoko nyahunyo nachapa
Rarua hizi traki hadi zina ***
Chafua meza, muna changa, huh
Sina pesa kwa kibeti, zote kwenye benki
Mulla in plenty
Funga biashara kama haileti
Ka salo kako kwangu, ni ka petty
Ni yule boy
Wa Kangemi
Ulizia pale, kwa Wa Boni
Mgenge halisi yaani tangu zamani
Bad boy au pia baba watoto
Mzee wa familia, uh, kama Jomo
Sipendi mizozo
Jifanye mjuaji unakula kokoto
Nadunga madigaga wakidai za macho
Chonjo chonjo

{Chorus}
Bonge, bonge
Ongeza hewa usinyonge
Bonge, bonge
Tunawapa mavidonge
Bonge, bonge
Ongeza hewa usinyonge
Bonge, bonge
Tunawapa mavidonge

{Verse 3: Konkodi}
Hii ni master copy wana role play
Kuja na ripple I am the new wave
Skinny ninja ego bonge (bonge)
Yes ni Konkodi but buda keep change
I make 'em go bananas imebaki imebaki wameze ndizi
Give it a run, give 'em a run, Wakimbizi
Uh what a gwan, sijali cost ya kupiga mbizi
Mi si celeb, but nina msupa anaitwa Kiki
Mpe D a go gaga
Sema digaga kama gyna
Sitafuti pini, purpose{?} msupa shuka nitapanda
Backstage quicky quicky
Juu maze nina haraka
Kwa boxer bana kakinyang'unya chapa chapa
Nikamserve sasa mtoto amedata{?}
Alitaka amepata, chora number
Toka keja akitembea kama bata

{Chorus}
Bonge, bonge
Ongeza hewa usinyonge
Bonge, bonge
Tunawapa mavidonge
Bonge, bonge
Ongeza hewa usinyonge
Bonge, bonge
Tunawapa mavidonge

{Outro}
This is your Captain speaking welcome abode the high life
We're now flying 30,000 feet above the planet earth
Cruise level
We'll be serving you pure niceness so just seat back and relax
And enjoy the ride...

Please Kindly drop a comment, Corrections and suggestions. Your Comment is a motivating factor for wikilyrics to perform greatly.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Ads Area

Disclaimer: All The Lyrics, Stories, Hymn, Poem & Anthem on Wikilyrics are submitted by various people and they have right on the contents they submitted, all the Contents on our database is for educational purposes only and are made available for free download. If you feel one of your asset should not be here please request take down.